PHOTOS

         MASHINDANO YA FOOSBALL
   HEINEKEN NA EATV FULL SHANGWE 

kushoto ni Salama Jabir akicheza Follsball, wengine ni Abdala Ngali


Kutoka Kushoto ni Basilisa John mtangazaji wa Ujenzi, Tanzania Heineken Maneger Uche Unigwe, watatu ni Halima Fready muandaaji wa kipindi cha 5 CELECT na Kijakazi Yunus muandaaji wa Hotmix EATV


kutoka Kushoto ni Iyan Dialo mtangazaji wa Ea Break Fast, katikati ni Loyce Joseph Researcher wa Eatv pamoja na Head of Programing wa EARADIO bwana Nasser Kingu

aliye simama ni Allan Lucky akitoa burudani 
Foosball ni mchezo ambao kampuni ya Heineken inajitahidi kufahamisha umma iliuweze kuzoeleka zaidi

*****************************************
 Picha za matukio mbalimbali yaliyojiri siku ya jumamosi kwenye Media Day 2013 viwanja vya leaders Club jijini Dar es salaam, nakuhusisha waandishi wa habari kutoka vyombo vyote hapa nchini







*********************************************
 BAADHI YA WAFANYAKAZI WA IPP NA WASANII WALIO UDHURIA HAFLA YA CHAKULA KWA WALEMAVU DIAMOND JUBILEE
Kutoka kulia ni Godwin Gondwe mtangazaji wa ITV/RADIO ONE, wapili ni mtangazaji wa EA RADIO, Irene Tiliya, Watatu ni Kijakazi Yunus mtangazaji wa EATV, kushoto ni Zembwela mtangazaji wa EA RADIO/ EATV
Wakwanza Kutoka kushoto ni Happy Shame Afisa masoko wa EATV, wapili ni Anna Peter ,Coletha Reymond , nyuma mkono wa kulia ni Isaac Lukando na Steve Kafire wote watangazaji wa EA RADIO

Irene Tiliya na Loyce Joseph wa Eatv
Wasanii Diamond Plantnum na Dully Sykes, nao walijumuika na walemamuzu katika hafla hiyo
 Profesa Jay na Lady Jay Dee nao walikuwepo
Profesa Jay

******************************************
WAKAZI WA MBEZI MAJENGO MAPYA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO LEO.
 7. 1.2013




 Picha zote kwa msaada wa 
Kijakazi Yunus&Samson Charles

Posted on . Jan. 7.2013
By: Loyce Joseph 
 ********************************************
Katibu mkuu wa chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Wilbroad Slaa akiwa na baadhi ya waandaani na watangazaji wa kipindi cha HotMix kinacho rushwa na EATV







******************************************** 
 Picha nne ziki muonyesha CEO wa Blog ya black touchez @joachimjunior.blogspot.com, Frank Joachim baada ya kuhitimu masomo yake ya Uandishi wa Habari katika chuo cha Habari na utangazaji Royal (Royal College of Tanzani)




Hongera mdogo wangu Mungu atakupa ujasiri wakupambana na maadui wa fani ya Habari TZ


********************************************
PICHA ZA LULU LEO AKIWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM












     ***********************************************************************


                                                    PICHA YA WIKI


Bwana na Bibi, Emanuel Mwangosi, mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Agape jijini Mbeya mwanzoni mwa wiki hii

Bwana harusi, alipata ajali siku ya kuamkia Ndoa yake nakulazimika kufungandoa hivyo hivyo,

Picha hii imekuwa ya Wiki baada ya ku make headline kwenye mitandao mbalimbali na magazeti tofauti nchini.


******************************************************************************


Picha Tano zikimuonyesha Miss Tanzania 2012. Prigitte Alfred akipokea gari aina ya Noah aliloshinda baada ya kuibuka kidedea miongoni mwa walimbwende kibao na kutwaa taji la Miss Tanzania 2012





 ...........................................................................
  Adrian Atokelezea ndani ya Campus Vision

Picha za mtangazaji wa kipindi cha HotMix
Adrian Hillary Stepp. kinacho rushwa na EATV, akiwa katika pozi muda mfupi kabla ya kuanza kipindi.

................................................................................

Timothy Chelula,baada ya kufunga ndoa katika kanisa lamakuburi
 Mr&Mrs Timothy Chelula wakiwa katika ukumbi   wa Art in Tanzania uliopo Mbezi Beach
               ..................................................................................................................

Mrembo wa Dunia Fatna Ramole na Msanii wa Bongo Movie Nisha, picha hii imepigwa mara baada ya   kipindi cha kila siku cha HotMix kinachorushwa na EATV. 





.......................................................................................................................


Nifull kutokelezea, Diana Benjamin wa pande za Bunju alituma picha ambazo zinamuonyesha akitokelezea katika matukio mbalimbali over the weekend
eti alikuwa kwenye kipaimara cha baba mdogo wake Hance Mbangwa huko Bunju
hapa kapozi na mdogo wake baatimbaya ajanitajia jinalake
mtoto anamapoz , alininong'oneza eti anataka kuwa bonge la model 
si mmecheki wenyewe mimi sisemi sana
duh huyu mtoto kafunika, weekend yake ilikuwa saaaafi sana



EmoticonEmoticon