CELEBRITY


TAREHE YA LEO KATIKA KUMBUKUMBU

NI SHUJAA WA MAZINGIRA, 
ALIYEKATAA KUZIKWA NAKUAGIZA,
MWILI WAKE KUCHOMWA MOTO

Wangari Muta Maathai, alizaliwa tarehe ya leo April 1,1940 huko Ihithe Tetu- Nyeri nchini Kenya nakufariki Dunia September 25,2011 hukohuko nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 71.

Amepata elimu yake ya juu katika vyuo vya Mount St.Scholastica College, University of Pittsburgh na University of Nairobi akiwa na taaluma ya B.S Biology, M.S Biology Sciences na PhD Veterinary Anatomy

Mama Wangari Mathai ambaye alipewa tuzo ya Nobel Peace Prize akiwa ni Mwanamke wa kwanza kupewa tuzo hiyo Barani Afrika juu ya harakati yake ya Green Belt Movement.


 
Mbali ya kuwa mwanaharakati wa masuala ya mazingira na haki za binadamu Wangari pia alikuwa mwanasiasa shupavu. Amewahi kuwa mbunge na naibu waziri wa mazingira Kenya. Katika uhai wake ametunukiwa tuzo zingine mbalimbali za kitaifa na kimataifa kwa kutambua mchango wake


Lakini pia Wangari Mathai alikataa kuzikwa kama binadamu wengine hasa kulingana na taratibu za Kiafrika na kuagiza mwili wake kuchomwa moto, kutokana na kujali sana mazingira kisha eneo ulipochomwa mwili wake kupandwa miti.

                       #NUKUU ZA WANGARI MAATHAI
 
USA President Barack Obama, with the late Wangari Maathai

 # WANGARI MAATHAI QUOTES
" I kept stumbling and falling and stumbling and falling as I searched for the good. 'Why?' I asked myself. Now I believe that I was on the right path all along, particularly with the Green Belt Movement, but then others told me that I shouldn't have a career, that I shouldn't raise my voice, that women are supposed to have a master. 



That I needed to be someone else. Finally I was able to see that if I had a contribution I wanted to make, I must do it, despite what others said. That I was OK the way I was. That it was all right to be strong."
  • As quoted in the article Wangari Maathai:"You Strike The Woman ..." by Priscilla Sears in the quarterly In Context #28 (Spring 1991)

 *******************************************************
  GOLDIE AFARIKI DUNIA SIKU YA VALENTINE DAY

Mitandao Mingi ya nchini Nigeria imethibitisha kifo cha msanii maafuru wa muziki nchini humo marehemu Goldie Harvey ambaye alishiriki mashindano ya Big Brother Africa mwaka jana

Goldie Harvey amefariki akiwa na umri wa miaka 29 huko Lagos Nchini Nigeria ikiwa ni masaa machache tu tangu afike nchini humo akitokea Los Eangles marekani alikoenda kwenye Tuzo za Grammy 2013.

Goldie ambaye kwa majina kamili anaitwa Susan Oluwabimpe Harvey, siku chache zilizopita Msanii wa Kenya ambaye naye alishiriki katika shindano la Big brother Afrika 2012, Prezoo alitangaza kuwa atamuowa mwanadada huyo ambaye hivi sasa nimarehemu


Msanii huyo amefariki kutokana na maumivu ya kichwa lakini haijawekwa wazi ninihasa kimeondoia uhai wake.

Goldie ambaye pia amewahi kuimba na msanii wa Tanzania A.Y amekuwa nyota ya Nigeria kwa fani ya muziki. Hatahivyo familia yake haijaweka wazi mazishi yake yatafanyika wapi na sikugani

Posted on: Feb. 15.2013
 **************************************************************

Black Billionaire of 20th Centuary OPRAH WINFREY
                      Happy Birth Day


Ni marekani Mweusi. Amezaliwa tarehe yaleo January 29.1954 anaumri wa miaka 58 hivi sasa

Kulingana na tafiti zilizo fanywa nchini Marekani Operah yeye ni Tajiri wakwanza Mweusi katika karne ya 20 (20th Centuary).

Oprah alizaliwa katika familia masikini sana huko Kosciusko Mississippi nchini Marekani, 

Na alipokuwa na umri wa miaka 9 aliwai kubakwa, pia alipata mtoto katika umri mdogo wa miaka 14 lakini kwa baati mbaya mtoto wake alifariki akiwa mdogo.

Baada ya jitihada zake binafsi Oprah aliweza kuibuka nakuwa Tajiri Mkubwa Duniani, hivi sasa Oprah anaishi Montecito California.
Oprah anautajiri wa Dola za Kimarekani Billioni 2.7 (US$ 2.7) yeye ni nimfuasi wa chama cha Democratic Party. 

Posted on 29. Jan 2013
  *******************************************
Posted on: 20th Jan.2013

BARACK OBAMA, ameapishwa Rasmi kuwa Raisi wa Marekani kwa awamu ya Pili katika Ikulu ya White House jijini Marekani. Obama ni raisi wa 44 wa Marekani




******************************************************** ***************
 DR. REGINALD MENGI NA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATU WENYE ULEMAVU KWA MIAKA 19 SASA




Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi Jana taree 20.1.2013, alijumuika na Walemavu zaidi ya Elfu 5000 katika hafla ya chakula katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam, ambayo uwaandalia watu wenye ulemavu kwa lengo la kuishawishi jamii kuwajali na kuwapenda watu hao



 Hafla hizo hufanyika kila mwaka, nahii nimara ya 19 tangu kufanyika kwa hafla hiyo, Tangu mwaka 1994 Walemavu wengu hujitokeza kuhudhuria hafla hiyo huku kila mwaka idadi yao ikiongezeka



Dr. Mengi amekuwa akifanya hafla hii kama shukrani yake kwa jamii, akiwa na lengo kubwa la kuishawishi jamii kuwakumbuka na kuwahudumia watu wenye Ulemavu

Posted by. Loyce Akoth
On. Jan. 21.2013 

 ********************************************
HUYU NDIYE MWANAMKE MREFU ZAIDI DUNIANI, ELISANY DA CRUZ SILVA

Elisany da cruez silva, ni binti mwenye umri wa miaka 17, na ndiye anaye aminika kuwa mwanamke mrefu zaidi duniani akiwa na umri mdogo pia, yeye ni mzaliwa wa Brazil na anaurefu wa futi 6.9.







Alisany amezaliwa Septembar 27 mwaka 1995, na anaurufu zaidi ya wasichana wote wenye umri wake duniani. Anafanya kazi za mitindo huku akionekana kuwavutia watu wengi kutokana na umri wake pamoja na urefu alionao.

Mchumba wake ambaye anaurefu wa futi 5.4 ambaye ana umri wa miaka 22 anaitwa Francinaldo da silva carvalho, Licha ya pinti huyu kuwa na umri mdogo zaidi kuwa na mpenzi lakini Sheria za Brazil azijalishi sana kama mtu atakuwa na uhusiano na binti mwenye umri mdogo kama ilivyo Tanzania au nchi zingine Barani Afrika. 


Kutokana na kuwa mrefu kuliko mabinti wenzake Elisany aliamua kuacha shule nakujikita zaidi katika mambo ya mitindo. 


************************************************

HISTORIA YA UGONJWA WA SAJUKI
Sajuki alianza kuumwa Sepember 2011, na kutibiwa katika Hospitali ya TMJ na Muhimbili akiwa anasumbuliwa na kansa ya ngozi ya mwili mzima. Taree 16. 5.2012, Aliweza kwenda India kwa matibabu zaidi.

Tarehe 14.12. 2012 alizidiwa na kupelekwa Hospitali ya Muhimbili kwa upungufu wa Damu na ndipo taree 2.1. 2013 saa kumina mbili na nusu asubuhi alipatwa na umauti.

Marehemu ameacha mke na mtoto mmoja mwenye umri wa miezi 10, na amezikwa leo taree 4.1.2012 katika makaburi ya kisutu jijini Dar es salaam

Sajuki alikuwa miongoni mwa mastaa wakibongo, ndani ya tasnia ya Bongo Movie ambaye alipendwa na watu wengi kwa kipaji cheake cha kuigiza

Posted on Jan.04.2013  
 by: Loyce     
***************************************************************************************    
 Posted on dec.20.2012   
 by: Loyce     

                  JOJO ATIMIZA MIAKA 22

       ASHEREKEA TAREHE YA KUZALIWA 20,DEC 1990

 Ni mwanamuziki wa Marekani, alianza kuimba akiwa na umri mdogo,



 ***************************************************

 JUMBA LA KIFAHARI LA RIHANA LAGARIMU DOLA MILLIONI 12 ZA KIMAREKANI


Mwana mziki wa marekani RIHANA, amenunu nyumba mpya yenye thamani ya Dola Millioni 12 za kimarekani, katika mji wa Pacific Palisades huko Califonia. Rihana anamiaka 24 hivi sasa na amezaliwa February 20, 1988 ambapo amezaliwa ni Sain Michael , barbados




        Magari ya kifahari ya Rihana haya hapa

   .........................................................................

SHILOLE , CHRISTINE AGUILERA NA SAMWEL SITA WAZALIWA LEO,




SAMWEL SITA, WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI NAYE AZALIWA LEO

 ................................................................................

BINGWA WA DUNIA WA MASUMBWI AZALIWA LEO, NI DAPIDRAN PACQUIAO

 

Kwamajina ni Emmanuel Dapidran Pacquiao, Jina lake la utani ni Pac-Man, maarufu kama Manny Pacquiao yeye ni Professional boxer, napia  ana Records za juu sana akiwa ndio Bingwa wa Dunia upande wa Boxing ni Actor na pia ni Politician (Mwana siasa. Ameoa na anawatoto wa Nne, mkewake anaitwa Maria Geraldine. Kwa sasa anaishi huko Las Vegas Nevada

KWA SASA YEYE NDIYE BINGWA WA DUNIA KATIKA MASUMBWI 

Malipo ya Pacquiao

Manny Pacquiao Net Worth is$70 Million
Manny Pacquiao Annual Income is$62 million
Manny Pacquiao Salary is$22 million
 ................................................................................................................................................

    MICHAEL OWEN AZALIWA LEO

Michael Owen, ni mchezaji wa Stok City, amezaliwa taree 14.12.1979, katika eneo la Chester huko England, na amewai kuwa nimchezaji bora wa Dunia




















Owen ni mtoto wa mchezaji wa Zamani Terry Owen, Alianza mpira katika timu ya vujana ya Liverpool mwaka 1996.

Timu alizowahi kuchezea ni Liverpool, Real Madrid, Newcastle United, Manchester United na hivi sasa yuko Stok City. 






..........................................................................

MASTAA WALIO ZALIWA LEO, BONGO NA MAJUU HAWA HAPA

 

Taylor Swift6 alizaliwa Desemba 13 mwaka 1989. Huyu ni mwana muziki wa Markani.
 
Aliasaini mkataba na Lebel Big Mchine Records na kuwa mwana muziki mwenye

umri mdogo kufanya kazi na ATV Music publishing house. Mwaka 2006 alitoa albamu yake ya

kwanza ambayo ilimpatia sifa na kumfanya afahamike katika ulimwengu wa muziki duniani.

Taylor alitoa single "Our Song" iliyomfanya awe mwanamziki mwenye umri mdogo kuingia katika

chati ya wanamuziki bora katika nchi hiyo. Vilevile alitajwa kama mwanamuziki mpya nyota

katika Grammy Awards mwaka 2008
                     .........................................................................................


 BONTA, ni mwanamuziki wa kibongo na amezaliwa taree na mwezi kama wa leo, 13.12

      ............................................................

  MIKE TYSON ABADILI JINSIA NA KUWA MWANAMKE

MIKE TYSONE ambaye alikuwa mpiganaji wa mwasumbwi kwa kiwango cha uzito wa juu nakujinyakulia ushindi wa dunia mara kadhaa, amebadili jinsia na kuwa mwana mke, baada ya kufanya upasuaji katika clinic moja maeneo ya Beverley Hills Nchini Marekani
Mike Tyson ambaye alikuwa kama mwanaume hatari”The baddest Man on the Planet”ameelezea hali hiyo kuwa kama ndoto yake ambayo imeweza kutimia, na kuelezea kuwa kuanzia sasa atatambulika kwajina la Mishell. Baadhi ya maneno ya Mishell (Mike Tyson) ambayo amenukuliwa na Mtandao wa The Standard wa marekani yanasema

“Some people might think it strange that I’m now a woman,” said Tyson, who underwent complete facial feminisation, orbital bone contouring and nasal surgery in an operation lasting over 16 hours.



 ‘But even at the height of my career, when pound for pound I was regarded as the best fighter in the world, I never lost touch with my feminine side and knew that one day I would grow breasts and have a vagina.

Bibie Mishell- zamani kama Mike Tysone, Amesema kuwa kwake mwanamke kutawafanya wamarekani kumchukulia katika mtazamo wake mpya, kitu ambacho kitafanya wao wavutiwe na mtazamo wake mpya.


   ..................................................................................................

TOP THREE TANZANIAN MODELS WHO ARE INTERNATIONALLY RECOGNIZED IN THE WORLD OF FASHION


 no. 1 Millen Happiness Magese

Former Miss Tanzania (2001), International Model signed with Ford Models NY,Ice Model Management South Africa, Tanzania Eductation Trust Spokesperson

She is a World-renown fashion Model and Humble Humanitarian. When she's not rocking the runways in Europe,the United States,Asia and Africa. the former Miss Tanzania can often be found lending her time,talents,and high enegy to making a difference in the lives of those who are less fortunate through her significant contributions to charities such as the Tanzania Education Trust, African Rainforest Conservancy, and the MacDella Cooper Foundation

 Giving back is one of my favorite things. Millen Magese's mission is to proved assistance to charitable organisations whose work is specifically focused in Tanzania especially causes that benefit women, chilren, and primary education.Her long-term plan is to build schools for children in rural areas as she believes a good education is a key to life

 to follow: Millen

www.millenmagese.com/

https://twitter.com/ladivamillen
Millen Magese,. @ladivamillen.
                              *******************************************

  no: 2 FLAVIAN MATATA


 
Former Miss Universe semi finalist(MsUniverse Tanzania),International Model signed by Wilhelmina,Next London,BOSS-SA, trying to make a difference.

She studied Electric Engineering at Arusha Technical College. Her star started shining when she rose to international fame in 2007 after she won the Miss Universe Tanzania title and became the first woman to represent her country in Miss Universe. 
 
Flaviana is also turning her attention to charity. She is Angel Ambassador of Diamond Empowerment Fund (DEF), Through her foundation – Flaviana Matata Foundation – she is reaching out and helping women and children of her home country Tanzania through various charity activities. Flaviana is also the Goodwill Ambassador of Tanzania Mitindo House – a Tanzanian charity. 

 to follow 
Flavian Matata
 flavianamatata.com/
 https://twitter.com/FlavianaMatata
 @flavianMatata
                                      *************************************

NO.3 ROSEMARY KOKUHILWA 

EX-Model from Tanzania,  Freelance Fashion Stylist,  a Fashion Blogger  , a certified make up-artistry , Co-founder & Chairman & CEO of Global Fashion New York Inc.

started modeling for Faces International and working for M-Net Africa - Tanzania. This opportunity allowed her to gain experience from working on multitude of exciting assignments including Road shows for M-Net Rock Down Africa, Chanel O, M-Net Face of Africa, and styling for local runway shows.
 
She is a social entrepreneur and a philanthropist. In the USA, Rosemary has and continue to use her clout and and status to raise funds to support causes in Tanzania and elsewhere. 
 
 

 to follow Rosemary
 www.fashionjunkii.com/tag/Rosemary-Kokuhilwa
 www.facebook.com/...rosemary-kokuhilwa.
www.fashionjunkii.com
                                  

   .......................................................................

JACKLINE WOLPER ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA

Msanii maarufu wa maigizo Jackline Wolper, anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, ambayo ni taree 5.12.siku ya leo

Wolper, nimiongoni mwa vimwana bomba na viwango ndani ya Bongo Movie

       ..............................................................

Muigizaji na mkongwe wa Filamu za Nollywood, Nchini Nigeria namzungumzia mzee mkongwe Enebeli Elebuwa,ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko India alikokuwa amepelekwa kwa matibabu,baada ya kuugua kiarusi(Stroke), Enebeli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65 

.........................................................................................................................

JAY-Z RAPPER ALIEUZA ZAIDI YA    ALBUM  MILIONI 50 DUNIANI

Jay-Z ni rapper wa marekani,Producer,Actor na mjasiriamali, pia ndiye rapper mwenye mafanikio zaidi marekani na duniani.akiwa na album millioni 50 na kuziuza kwa kiasi cha dola 500 za kimarekani.
Jay-Z amezaliwa December 4 mwaka 1969 huko New York City, majina yeke kamili ni Shauni Corey Canter lakini anafaamika sana kama Jay-Z.mke wake ni msanii maarufu wa R&B Duniani,Beyonce Knowles na wamefanikiwa kuzaa mtoto mmoja aitwaye Blue Ivy Carter.uzo 14
Jay-Z anajumla ya tuzo 14, huku nyimbo zake zikiwa nominated mara kadhaa katika mashindano mbalimbali. Pia nyimbo zake zimekuwa kwenye record ya The Greatest albums of all time.
 Kwatarifa yako muimbaji Jay-Z,ndio muazilishi wa Rocawear. pia ana share ya asilimia 40 katika National Basketball Associations Brooklyn Nets ya huko marekani,vilevile ni former CEO wa Def Jam Records, pia anamiliki Roc-A-Fella Records. ikiwa yeye ndiye muazilishi wa Roc National Jay-Z.  
  Akita hitu ambavyo nitofauti na wasanii maarufu Marekani kwa Jay-Z nijinsi alivyo weza kuimili Mapenzi yake na bibie Beyonce

   .......................................................................................

NANI ANA MBEBA MWENZAKE KIMZIKI

Wadau wa Campus Vision hili lazima tuliondolee utata, Coz minong'ono inazidi...Eti kati ya wasanii maarufu na wakongwe wa Bongo Fleva. Mwana Falsafa a.k.a Mwana FA pamoja na Ambwene Yesaya a.k.a  AY Mzee wa Comecial.

Ninani anambeba mwenzake kimuziki..Je ni AY au ni MwanaFA?


Huu ndio muda wakujua nani mkali nani anabebwa na mwenzake au nani anamingo za kuzidi kung'ara kutokana na mwenzake.

Tupia Coment yako ili tumpate ambaye anamtumia menzake ilikuwa juu kimuziki.


Mwana FA na AY walikuwa miongoni mwa wasanii waliounda kikundi cha East Coast Team, ambao mpaka sasa bado wana Sikika


EmoticonEmoticon